KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA YA JUMAPILI YAKUSIFU NA KUABUDU 07/02/2021
UJUMBE WA LEO:
NENO LA MUNGU LINA NGUVU
Yeremia 23 : 28 - 29
28 Nabii aliye na ndoto, na aseme ndoto yake; na yeye aliye na neno langu, na aseme neno langu kwa uaminifu. Makapi ni kitu gani kuliko ngano? Asema Bwana.
29 Je! Neno langu si kama moto? Asema Bwana; na kama nyundo ivunjayo mawe vipande vipande?
THE WORLD OVERVIEW AND POPULATION
Bara la Asia
1. Bara la Asia lina idadi ya watu 4,664,593,435.
➢ Sawa na 4.7 Billions
➢ Ukubwa wa eneo lake ni 31,033,131 km2
➢ Ndiyo Bara la kwanza kwa ukubwa duniani.
Africa
2. Africa ni bara la pili kwa ukubwa duniani na lina idadi ya watu
1,359,659,536
Africa ina ukubwa 29,648,481 km2
➢ Africa ina nchi zipatazo 54 (kwa Mujibu wa Takwimu za umoja wa mataifa)
(Takwimu hizi ni kutokana na WORLDOMETER za 06/02/2021 saa nne usiku)
Israel
3. Israel ina watu 8,735,512 na ukubwa wa 21,640 km2
Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
Kwa maombi na ushauri:
Mch. Dkt. Eliona Kimaro.
Simu :+255655516053, +255754516053
YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV
Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com
Category
Show more
Comments - 32
Related videos for KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA YA JUMAPILI KUSIFU NA KUABUDU :