Duration 3:37

TAZAMA WABUNGE 19 WALIOVULIWA UANACHAMA CHADEMA, WALIVYOINGIA BUNGENI LEO

115 920 watched
0
487
Published 2 Feb 2021

Wabunge 19 wa Viti Maalum ambao walivuliwa uanachama na CHADEMA mwaka jana kwa madai ya kukiuka taratibu za Chama, wamefika Bungeni leo asubuhi wakiongozwa na Halima Mdee kuhudhuria kikao cha Bunge kilichoanza leo Jumanne, February 02, 2021 Jijini Dodoma.

Category

Show more

Comments - 150