Duration 1900

Kubwa kuliko / mrejesho kutoka kwa mteja. mashine ya mafuta ya taa Dodoma

63 watched
0
1
Published 11 Jul 2021

*▶️WAFUGAJI WENGI WA KUKU* Unapofuga kuku ujue ni kazi wengi huanza na wazo kama kujaribu hivi KISHA kuja kusema ni kazi sasa ..... USIDHARAU kazi YOYOTE inayotumia Gharama hata kama ni sh 100 inatumika ni hatari kwa uchumi wako! Ni Kosa kubwa Kufuga kuku bila mipango huathiri mno UTENDAJI KAZI maana hulengi faida bali unawaza kuwaona tu kisha unaanza kusema ni Faida wakianza kutaga. 🟥Sisemi usome nadharia bila kutenda, kutenda ni Faida mno kuliko nadharia ndo iko hivo, unajifunza zaidi mno!

Category

Show more

Comments - 0