Duration 5:45

GIGY MONEY : RUBY KALOGWA / NANDY SIMPENDI KUTOKA MOYONI / AMETUHARIBIA MADILI SANA

337 811 watched
0
3.1 K
Published 15 Jul 2020

Kupitia kipindi cha Mashamsham GIGY MONEY, ameendelea kuzungumza mengi kuhusu msanii mwenzake NANDY, Kwa kile kinachoonekana kama kutokua na maelewano mazuri baina yao.

Category

Show more

Comments - 768