Duration 5:56

ONA MAJINA MAZURI YENYE MAANA MBAYA | KUA MAKINI SANA NA MAJINA HAYA

321 177 watched
0
1.2 K
Published 14 Sep 2021

Sio kila jina lina maana nzuri. Kuna majina mazuri lakini kumbe yana maana mbaya. Hivyo kua makini sana na majina ya namna hii, Pia ni muhimu kufahamu maana ya jina fulani pamoja na asili yake kabla ya kulichagua au kumpatia mtoto fulani. Leo katika channel yetu ya @Quotes24life tumekuandalia na tunakufahamisha majina mazuri lakini yana maana isiyonzuri. Subscribe, kwa videos mpya! Kama Unaswali lolote...uliza katika komenti. Karibu sana🙏🙏🙏 #Majinamazuri #Quotes24life

Category

Show more

Comments - 624