Duration 9:33

Biteko asitisha uzalishaji machimbo ya Epanko mkoani Morogoro

1 036 watched
0
9
Published 10 Jul 2018

Na George Binagi, Morogoro Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko ameagiza kusitishwa shughuli za uchimbaji madini katika machimbo ya Epanko iliyopo eneo la Mahenge katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro kutokana na machimbo hayo kukiuka kanuni na sheria za uendeshaji. Naibu Waziri Biteko ametoa agizo hilo leo 10 Julai 2018 ametoa agizo hilo kufuatia ripoti ya timu maalumu aliyoiunda mwezi uliopita na Kamishina wa Madini nchini kuonyesha hakuna usimamizi na udhibiti mzuri wa madini ya vito aina ya Spinel, Green-Gernel pamoja na Ruby katika machimbo hayo na hivyo kuikosesha serikali mapato.

Category

Show more

Comments - 0