Duration 18:13

Jeshi la Magereza lilivyoonyesha uwezo wao pale Mfungwa anapozingua

728 546 watched
0
1.9 K
Published 13 Jan 2017

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amealikwa kufunga mafunzo maalum ya kikosi cha jeshi la magereza katika viwanja vya kikosi maalum cha kutuliza ghasia magerezani kilichopo Ukonga.

Category

Show more

Comments - 243