Duration 28:57

Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani

33 333 watched
0
327
Published 22 May 2021

Je unajua kuwa nguvu ya yale yanayotendeka chumbani ambako wewe na mwenza wako yana uwezo wa kubadilisha mahusiano yenu yote? Familia yenu inajengwa na kuimarishwa kwa yale yanayofanyika chumbani kwenu. Kudorora kwa tendo la ndoa kunaweza kuleta ufa mkubwa kwenye mahusiano au ndoa yenu. Swali ni je, kwa kiasi gani unawekeza nguvu na umakini kwenye kuyajenga na kuyaimarisha mahusiano yenu ya chumbani? Nifuatilie kwenye somo hili nikusaidie mambo muhimu.

Category

Show more

Comments - 45