Duration 2:12

SAKATA LA WIZI BENKI YA NBC/ POLISI WAINGIA MATATIZONI DAR

4 969 watched
0
13
Published 25 Feb 2020

Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia askari wanane wa kanda hiyo wakiongozwa na mkaguzi msaidizi wa polisi kwa kukiuka maadili ya kazi zao, ikiwemo kutozingatia maelekezo waliyopewa na Mkuu wa operaheni katika tukio la kuwakamata watuhumiwa watatu wa wizi wa fedha za benki ya NBC.

Category

Show more

Comments - 2