Duration 27:6

Siku 7 za maombolezo kifo cha Rais Mstaafu Wiliam Mkapa

24 810 watched
0
72
Published 24 Jul 2020

#WMkapa #ITVTanzania Taarifa ya Habari, Saa Kumi na mbili Kamili Asubuhi, Julai 24, 2020 Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg

Category

Show more

Comments - 34
  • @
    @japhetyinzalufungulo84094 years ago R. I. P rais william mkapa mwenyezi mungu akupumzishe mahara pema peponi amina. 1
  • @
    @edwardkapaya48094 years ago Rip rais wetu msitaafu mungu akutangulie. 1
  • @
    @beatricmmpantaleo34204 years ago Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi! Amina!
  • @
    @rithakuyala99514 years ago Mungu wangu, mungu amlaze mahali pema peponi baba etu amiina poleni sana watanzania.
  • @
    @zaiibram56854 years ago Mungu areze rohoyake pahalipawaja wema. 1
  • @
    @witnessmbilinyi8274 years ago Mwenyez mungu ampunguzie azabu y kaburi r i p. 1
  • @
    @alicesosthenes91324 years ago R. I. P mstaafu wetu william mkapa mwenyez mungu akuweke maala pema.
  • @
    @sarahsarah49194 years ago Ndah nishutuka sana poleni sana familia ya baba mkapa apumzike kwa amina baba yetu mkapa.
  • @
    @dominomchau71364 years ago Rest in peace daddy hr. Pres. William b. Mkapa.
  • @
    @happycosmas68714 years ago Mungu ailaze roho yake mahalipema peponi.
  • @
    @makdaletarugano75574 years ago Tanzania imepata msibamkubwa mungu amlaze baba yetu mpendwa maala pema pepon amina.
  • @
    @cosmasmogasa98954 years ago Mh huyo anaetoa historia ya ben mkapa vipii? 2
  • @
    @polebugalama91794 years ago Alikuwa amelazwa mbona hamjatujulisha mko kimya tu had i amefariki ndo mnatupa taarifa, 2
  • @
    @zozohmeed55464 years ago Mbele yako nyuma yetu baba kapunzike kwa amani innalilah wainnailah rajiun.
  • @
    @rehemamoses79444 years ago Mungu amlaze mahali pema pepon
    nimipango ya mungu.
  • @
    @johnbutene7274 years ago Menjamen wiliam mkapa mungu akuweke mahala pepona akupokea vyema maana ni safali ya ote.
  • @
    @lutimahimbo96074 years ago Historiayake
    kaacha mke na watotowangapi.
  • @
    @boniphacemwita40134 years ago Mola ailaze roho ya marehem pahal pema pepon.
  • @
    @amosmoses78004 years ago Kwanini iwe ni siku 7.
    ebu tuone mazishi ya mzee mwinyi yatakuwaje.