Duration 9:51

EXCLUSIVE: ALIEOMBA WABUNGE WAONGEZWE MSHAHARA AFUNGUKA, ASIMAMIA MSIMAMO NI KAZI, MBUNGE UNAROGWA

4 586 watched
0
24
Published 22 Jun 2021

Baada ya Mbunge wa Mbogwe Nicodamus Maganga kusimama bungeni wakati akichangia na kuwataka wabunge kuwaeleza wananchi ukweli kuwa mishahara na posho wanazolipwa hazitoshi. Leo June 22 2021 AyoTV imempata Mbunge huyo ambaye amekubali kufafanua hoja yake aliyoizungumza bungeni kuhusu wabunge mishahara kutowatosha.

Category

Show more

Comments - 79
  • @
    @tinyaanosiatha11183 years ago Yani huyu mbunge hafai kabisa kuwa mbunge milion 12 kwa mwezi anasema waongezewe nyingine. Kama hataki ubunge aache. Huu ubunge kuna watu wanautafuta miaka nenda rudi. 5
  • @
    @rendiman28783 years ago Haya maduwanzi wanaopelekwa bungeni na maduwanzi ni hasara sana kwa taifa hili. Sasa yeye anataka kugawa hela kwa wananchi badala ya kutengeneza sheria za kuwainua wananchi kiuchumi. 4
  • @
    @meshackmpalanga91303 years ago Kaz ya mbunge sio kuwapa pesa wanainchi bali kuibana serikari kuweka mazingira mazuri ya kutafuta. 2
  • @
    @kenybenjiz78503 years ago Nyie ni walafi
    kama posh haitoshi acha kazi
    kuna walimu wanalipwa laki 4 tu.
    2
  • @
    @romulomsemwa71242 years ago Ulilazimishwa kuwa mbunge, kama hakuna kitu umeenda kufanya nini?
  • @
    @williammsigala69503 years ago Rest in peace president magufuli
    tutakukumbuka sana.
    2
  • @
    @hawaelymaricca76023 years ago Muongezewe mishahara kwa kaz gani? Pesa zote mnazolipwa zote hizo haztoshi?
  • @
    @sirajially5763 years ago Nimependa hiyo sentensi " mtu mpaka kuwa mbunge amepitia mangapi/njia zipi" yes, rushwa, ushirikina n. K. Hata upewe laki 9 kwa sekunde hazitoshi.
  • @
    @amonchalah30923 years ago Wee mpuuzi xanaa, fanyaa kazii wee, i wish i could be given even a little chance to be at any position so as my voice should be heard. 1
  • @
    @aureusmkadange90163 years ago Huwez fany kaz km yesu bro acha ubunge.
  • @
    @modernfarming59383 years ago Kiukweli inasikitisha kuona mbunge ambae hajalazimishwa ni kwa hiyari yake ila leo anasema posho na mishahara haitoshi. Hawa jamaa hawalipi kodi. Wewe haijalishi umepitia njia gani kupata ubunge coz hujalazimishwa. 1
  • @
    @nelsonkapinga93203 years ago Wanamasumbwe mnapaswa kujipanga upya 2025. 1
  • @
    @malopemaliyamungu52433 years ago Acha ubunge ukalime. Hauko sawa, hujui kazi za mbunge, hujui nini mahitaji ya wananchi wako. Hata elimu yako nina wasiwasi nayo. Wana-masumbwe wana mzigo.
  • @
    @mwiguluzabron14143 years ago Hana sifa ya uongozi. M-binafs sana aasahau mwananchi wake wa masumbwe wanaangaika tu.
  • @
    @josephatmakuka48603 years ago Akili yake ndogo sana kwa hiyo walimu na madaktari cyo watu wa watu? Wabunge wanamna hii waliingia kwa bahati mbaya.
  • @
    @otmarmkali88836 months ago Acha siasa, wewe hela nyingi mnapewa acha porojo tunajua kila kitu.
  • @
    @hawaelymaricca76023 years ago Km umeacha pesa nyumbani kwanini umegombea ubunge? Km sio ulitaka pesa?
  • @
    @samwelsengati13693 years ago Huyu ni mpuuzi sana amefikiria mwalim anapewa sh. Ngap?
  • @
    @helentelemla56233 years ago Mimiwote ni waelewa na ni wazalendo kama wewe?
  • @
    @kiatu3 years ago Kama take home ni tsh three million hazitoshi. Kwa ujumla mishara na posho havitoshi kwa wote, sababu ya wanaolipwa mishahara kutegemea rushwa ama kuiba. Baadhi of course, wengi wakifa kisabuni.
  • @
    @rich-lr8tq3 years ago Bunge halina umuhim wowote esp kwa bunge la ccm hili, mko huko kwa ajili ya maslahi yenu tu. 1
  • @
    @margarethpolepole74383 years ago Kama kwenye ubunge hakuna kitu msingetoa rushwa muacheni uongo laki mbili zinatosha kabisa. 1
  • @
    @kelvinluoga51403 years ago Wasiwe wanahonga hera kipindi cha uchaguzi wakijua ubunge unahera hii ni kazi ya kujitolea. 1
  • @
    @otmarmkali88836 months ago M 11 hazikutoshi, mafuta bure. Bima ya afya. Huyu jamaa ana mchango mdogo sana katika taifa,
  • @
    @morganrobinson35423 years ago Mnalalamika oohh jimbo letu haliendelei oohh majimbo flanimnachagua mapumbafu tu yenye tamaa na yasiojua yanachotakiwa wafanye.
    yan ingewezekana piga viboko vingi sana watu kama huyu.
  • @
    @bakarininga41003 years ago Huyu wa chama gani kwnza, anafikiria ubilionea akistaaf dah au akiacha ubunge very stupid kuna walim wanafundisha zaidi ya madarasa manne hamuwatetei nyie ndo mnajiona wenye nchi. 6
  • @
    @margarethpolepole74383 years ago Acha ubunge wenzio wachukue kwani ulifuata bungeni pesa kuchukua pesa hapo mbona watu hawajaongezewa mishahara yao kwenda kule achia wenzio wachukue huo ubunge.
  • @
    @emmanuelmayunga15183 years ago Acha ubunge tuende sisi mbwa wew mrafi wa pesa.
  • @
    @malopemaliyamungu52433 years ago Mwenyekiti wa ccm taifa mh. Mama samia s. Hassan. Kwa unyenyekevu tafadhali hebu fukuza uanachama wa ccm huyu mbunge, kuna njia nyingi ambazo angeweza . ...Expand
  • @
    @simbarajabu41573 years ago Wananchi huyu afai naomba msimchague tena aondoke tu.
  • @
    @boscoafikile47373 years ago Mbunge unajifananisha na afrika kusini? Je uchumi wa nchi yako na wa nchi ya afrika kusini unafanana?
  • @
    @abuuramadhan80933 years ago Huyu hana bahati taarifa zakeawamu ijayo atakatwa kwenye kura za maoni.
  • @
    @jitukorofi95173 years ago Kama hakuna maslahi ya ubunge achana na ubunge ufanye kazi nyingine.
  • @
    @Datkingk3 years ago Shenzi type, umelazimishwa huo ubunge. Si uache.
  • @
    @ashaali71543 years ago Kwani huyu alikuwa nani kabla hajachaguliwa kuwa mbunge? Hao wananchi waliowachagua wenyewe hawawezi kula mara mbili kwa siku. Kwani wewe unatakiwa uwalipe . ...Expand
  • @
    @hezekiamtera35593 years ago Ningekushauri uache ubunge kama mshahari hautoshi.
  • @
    @jamarijohansen34513 years ago Sikulaumu wewe namulaumu aliyekupitisha kula za maoni wananchi tuna kazi kweli hakuna uwakilishi hapo munatafuta pesa tu. 1
  • @
    @emmanuelmayunga15183 years ago Niwa jimbo gani huyu hafai hata kidogo, ovyo kabisa.
  • @
    @teachingtruthmission21403 years ago Kwani mnatak ubilionea? Hayo ya mishahara nawapinga kabisaa muanze kukatwa kodi.
  • @
    @imanijohn60693 years ago Dah, raia wenu wana teseka na maisha, ww unataka posho iongezeke, is not fair kumbuka kuna mwananchi hata mlo mmoja shida kwa siku, so sad.
  • @
    @jacobletema36813 years ago Kama unaona mshahara hautoshi acha huo ubunge!
  • @
    @rich-lr8tq3 years ago Boresheni maisha ya wananchi ndio utegemezi wa wananchi utaisha.
  • @
    @simbarajabu41573 years ago Ufai ww kuwa mbunge na tunawaangalia waliokuwa wanakipigia makofi wote tunawapa dundo.
  • @
    @mlelwamagnus27433 years ago Mchawi mkubwa uyu ilo jimbo wamepigwa hmna mbunge apo anazuga tu apo wtf.
  • @
    @suleimanimzalia99893 years ago Siwezi kukulaumu wewe mbali wananchi was mbongwe waliokuweka pale kiraza mkubwa, acha mambo ya ajabu mambo no tough sana.
  • @
    @japhetjoseph17723 years ago Acha kujiona unategemewa tu ww pia watu wanaolipwa laki 2 wanandugu wanawategemea kibao.
  • @
    @samwelsengati13693 years ago Mama samia muone huyu, na chukua hatua fukuza kwenye chama.
  • @
    @judaspantaleo97793 years ago Kwaiyo wewe unafika kila msiba kwenye jimbo lako! Kwaiyo unataka kuwa bilionea? Boya sana wewe.
  • @
    @amiribakari25283 years ago Yaani wewe hatukutaki kumbe ulifuata posho apo sio. Watu wanakutuma ukatafute posho na dolla huko. Ccm fukuza huyoo. Si ungepanda basi.
  • @
    @simbarajabu41573 years ago Acha upumbavu ww acha basi ubunge kwa nn mnagombea.
  • @
    @amonchalah30923 years ago Doctors, teachers, soldiers, policeman are working under very terrible situation and they are lowly paid but they are working hardly and some of them they . ...Expand
  • @
    @rehemamdoro51653 years ago Yaani wewe mbunge huna akili wanachi wako wanakosa hata kiberiti cha 100 alafu unasema muongezewe mshahara na posho ama kweli. Ila siwashangai ninyi wabunge wa ccm.
  • @
    @godfreymushi69663 years ago We ni maku na ass hole kazi si uliomba kazi mwemywe nani amekulazimisha kuwa mbunge.
  • @
    @amonchalah30923 years ago Acha ujinga wewe walimu bishahara midogo, posho hakuna, madaraja hakunaa, haraf kwa mwezi analipwa just lak tano, nne, tat haraf leo et mnajixemea id="hidden15" et muongezewe, fanya kazi weee kama hautaki achaa ubunge, wapo wat wabaihitaji iyo nafac,. ...Expand
  • @
    @shalomizrael6673 years ago Hamna kazi yoyote kupiga meza tu, mnakula bure, mnalala bure, hamlipi kodi, fikirini juu ya waalimu, na misongamano ya kodi kwa wamachinga.
  • @
    @rehemamdoro51653 years ago Haitakiwa 2025 wakuchague tena maana haufai.
  • @
    @hawaelymaricca76023 years ago Acha uongo huwez chukua pesa yako mkononi ukampa mtu wewe.
  • @
    @tronline69593 years ago Nilikua nakuelewa kutokana na safari ya maisha yako toka kuwa dereva mpaka mbunge, kumbe wewe ni wa hovyo sana.
    ninakushauri uache hiyo kazi kama unawezaje kuilinganisha tanzania na africa kusini? Wabunge aina yenu ndio mnakifanya chama chetu kionekane cha hovyo.
    useless kabisa
    .
    ...Expand
  • @
    @franciscylilo56263 years ago Huyu jamda kama anahoja flani ambayo inaitaji sana uelewa sana. Hasa anaposema nio malna wabunge hawakai majimbo kumbe issue ni kukimbia sida za wananchi . ...Expand
  • @
    @modernfarming59383 years ago Kwanini hamkuuliza kabla hamjaomba huo ubunge. Wengine hadi mnahonga ili muupate ubunge leo useme posho haitoshi ebu acheni hzo.
  • @
    @japhetjoseph17723 years ago Uyu jamaa afai unapenda pesa. Ase uyu jamaa pumba kweli punguza matumizi bhn.