Duration 18:58

PATANISHO : MKE WANGU ALINIACHIA MTOTO MOJA AKAENDA NA MTOTO MOJA

21 688 watched
0
246
Published 15 Jun 2021

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika #RadioJamboKenya Subscribe to RadioJambo Youtube - https://bit.ly/39wwc6u Mitandao ya Kijamii Instagram - https://rb.gy/e154d1 Facebook - https://rb.gy/09d1b9 Twitter - https://rb.gy/e23220

Category

Show more

Comments - 68
  • @
    @noelnekesa85923 years ago Ndoa ina changamoto mob sana na inabidi ukiingia kwa ndoa uwe tayari, uwe wa kusamehe na wakauomba msamaha na kuelewana km kuna mpenzio anaenda njia mbaya . ...Expand
  • @
    @joycendichu34433 years ago When a woman decide to revenge even the devil sits down and watch. 23
  • @
    @mercykirubi30013 years ago Yani ghost unajipea uhodo na unacheka. 4
  • @
    @lorraineatieno65443 years ago Men cant tell the trauma women go thru wen they rpains and finally raising the kids and the family as a whl. Then mtu anaanza kukuonyesha kuwa kuchepuka nje ya ndoa ndio tamu. Ndio hayo. 5
  • @
    @cleophasayiro103 years ago Hiyo kesi ni kama yaasonge mbele na maisha yake, uyo mwanamke ashaolewa already. 4
  • @
    @AsSa-hn9nf3 years ago Lineth
    wonderful! Bt i can not judge.
    2
  • @
    @janetoroko92713 years ago Men bear in mind we' re the one who met devil first in eden msisahau chungeni sana. 3
  • @
    @faithmakori88503 years ago Huyo mwanaume aendelee na mpango wa kando wake. 3
  • @
    @annaauyo19583 years ago Ati sweet heart. Mummy jipange. Acha naye aendelee na mipango yake ya kando. 1
  • @
    @Princess-eq5ei3 years ago Nauliza hivi kwani siku hizi hawaweki patanisho hapa youtube ama mimi ndio sifikiwi two weeks now. 6
  • @
    @godsfavour56653 years ago Time yenye bibi alikuwanga hakuwa anaona umuhimu wake sasa akisha enda ndio anatambua alikuwanga mtu wa bidii. Sasa si aoe huyo mpango wa kando. 7
  • @
    @paulinekamau76183 years ago Huyo jamaa asonge na aendee na maisha yake! Watarudiana waanze kesiarudi ale watoto coz kazi ni mingi. Wewe jipangesweetheart.
  • @
    @nkathalisa72713 years ago Revenge is sweet but haiponyi vidonda vya moyo. 2
  • @
    @stargal9063 years ago Thanks so much ghosti kwa kichekoeti simu inaingia vizuri kama farasi wa wapi? Halafu hili limsichana liko na madharau mbona hashiki simu. 1
  • @
    @prettyaysha78923 years ago Mm nilibaki na tuboys twangu2 siwapeani hata kwa madawa, mwanamume anaezazalisha tena mm hata sijui kama naezapata tena mtt so niwapeane nibaki zero nop. 9
  • @
    @zarabati17503 years ago Lakini ghost hahahahahaha unacheka huku unasulushia. 2
  • @
    @hannahwanja53093 years ago Songa ukisonganga wewe saa hii ndio waona uzuri wake. 2
  • @
    @hellenmudanya92073 years ago Kwa nini hamulipishi watuwalina mpango wa kando. 1
  • @
    @badifamwenyewe83013 years ago Kwani waluhya tuliajia wakale fituko musiniulize mbona si nimesikia.
  • @
    @prettyaysha78923 years ago Patanisho ya ghost iko slowly lakini unapata kastory but gidi nae hukua mharsh. 4
  • @
    @beatriceatieno4323 years ago Gidi anaharakisa watu sana ghost ako chonjo.
  • @
    @loiceomwola74513 years ago Ghost; hujambo? Yea ghost hii case niko nao sasa hivi. Ata mimi nataka patanisho. Kukaa mbali na mtoto wako n ngumu sana. Mme wangu alibaki na first id="hidden5" born n mimi 2nd born. So; hii n stress tupu ' coz uwezi hata kwendelea n life poa sababu ya hawa watoto. Ukiona mtoto unakumbuka baba ya mtoto. ...Expand
  • @
    @godsfavour56653 years ago Hayo ndio masaibu ya kuhanya n uko na wife. 4
  • @
    @jdjdjdjjdjdj1803 years ago This grammar nah wau oohidiot. Ww kula umalaya wako nkt. 2
  • @
    @noelnekesa85923 years ago Ndoa ina changamoto mob sana na inabidi ukiingia kwa ndoa uwe tayari, uwe wa kusamehe na wakauomba msamaha na kuelewana km kuna mpenzio anaenda njia mbaya . ...Expand
  • @
    @loiceomwola74513 years ago Ghost; hujambo? Yea ghost hii case niko nao sasa hivi. Ata mimi nataka patanisho. Kukaa mbali na mtoto wako n ngumu sana. Mme wangu alibaki na first id="hidden10" born n mimi 2nd born. So; hii n stress tupu ' coz uwezi hata kwendelea n life poa sababu ya hawa watoto. Ukiona mtoto unakumbuka baba ya mtoto. ...Expand