Duration 2:50

CCM WAFUNGUKA SABABU ZA KUMKATA MSHINDI WA KWANZA UBUNGE KINONDONI NA KAWE

56 955 watched
0
148
Published 21 Jul 2020

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya kinondoni Ndg Arold Maruma ambye amesimamia wa Uchaguzi Kinondoni na Kawe, amefunguka kueleza sababu za kumtaka mshindi wa kwanza aliyeongoza kwenye kura za maoni kwa mujibu wa utaratibu wa cha hizo.

Category

Show more

Comments - 72