Duration 16:17

MKALI WENU ATOA SIRI CHAFU ZA EBITOKE KWA MLELA/ FULL INTERVIEW NA SABABU ZAKE

51 120 watched
0
307
Published 20 Sep 2019

Hii ni exclusive interview na mkali wa commedy #Mkaliwenu mara baada kuachia ngoma mpya na project zake na hamorapa na kauli aliyoambiwa na Jay Z... ifuatilie mpaka mwisho kujionea kila kitu.. #EBITOKE #MLELA

Category

Show more

Comments - 260
  • @
    @jA-ox7vz5 years ago Nmefikir acha nifungue u tube ni watch zinazo trend, duuh nafungua tu paap namkuta bikra wa kiume asietaka kuharibiwa uvulana wake. 19
  • @
    @hassanichauya50535 years ago Wewe mkali muongo msenge we eti unasema wewe handsome, sura mbaya kama uwanja wa kamari, wewe sio bikra ila sema hivi wewe una govi unaogopa kukutana kimapenzi . ...Expand
  • @
    @sabrinerfrancis19275 years ago Wanaoona majibu ya mkali wenu km ya nabii tito hebu gongs like hapa. 6
  • @
    @najmandanshau33165 years ago Yan we ni kiazi waongea urojo sana broh. 7
  • @
    @zamdakimaro29735 years ago Ahaaa handsome boy utakuwa wewe hivi wewe ungekuwa kama hemed hivi ungesemaje '
  • @
    @saudaomary86875 years ago So bure mzee unamatatizo ktk mwili wako. 2
  • @
    @latiffaabdallah76795 years ago Mbavu zangu miye heee mkali wanuwa kwa kucheka toka tu. 4
  • @
    @aishahamisi50255 years ago Aha! Ndiomaana sura yako kavu yani haipendezi kumbe! 3
  • @
    @bahatihadijabahati74565 years ago Muache alinde uvulana wake jaman kwa kuzin kuna faida gani. 15
  • @
    @user-mm5tf7yn6p5 years ago Mungu akurinde kaka yangu cunga wakwako.
  • @
    @MilleniumDigitalVide5 years ago Hatari, mkali wenu yuposerious kabisa jamani. 2
  • @
    @barakanobert10565 years ago Hahahahah nimecheka saana baada ya kuskia mkali anajiita handsome boy. Duh haya bhana. 1
  • @
    @isharamadhan46405 years ago Mimi nimekupenda mtangazaji tuu unaweza.
  • @
    @harrietmwanyae47785 years ago Hahahaaa mkali utalipia mbavu zangu ww. 14
  • @
    @ayushjhay19795 years ago Subir usifiwe usijisif. Eti handsome. Na mlele asemeje. Wacha zako bikira ni mwanamke mume ni kipera kaka.
  • @
    @ummutaswaufi39805 years ago Hahaha eti akuharibie uvulana kweli hio jaman. 1
  • @
    @anitakalua23095 years ago Hahahahahahaha yaan mkali ww ni muongo had basi.
  • @
    @aminamussah3615 years ago Nimeipenda hiyo eti sitaki mwanamke aje aniharibie uvulana wangu hahaha alafu nna miaka 24 kweli bongo muvi bongolala taaluma isiyo na busara kha! 11
  • @
    @salmas12385 years ago Kila anacho ulizwa
    anajibu yeye ni bikra.
    1
  • @
    @nickylion9055 years ago Dah kweli wanaume wakubwa bikra tupo wachache sana wadada wa skuiz wanapenda kutuharibia. 7
  • @
    @mamalaozphilemon.88005 years ago Handsome boy kumbe ww nawe pia aya bhana!
  • @
    @wahidashabaz59825 years ago Nimepita katika izi coment yani nimecheka mpak mate.
  • @
    @maraklaraferinando6575 years ago Nakufa kucheka jamanii ujana wa mkali msiharibu hahaa.
  • @
    @hawa-luumiwrty31445 years ago Mtangazaji huyu kitambo sana sija msikiya kumbe yupo. 1
  • @
    @aminanicemoviesalia30755 years ago Mkali wenu njoo kwangu unitongoze nitakukubalia mana ata mimi mwenyewe pia bikra maria. 1
  • @
    @maulidally44765 years ago Bad0 mm ni bikraa nalinda uvulana wangu. 7
  • @
    @sharifakatamba12205 years ago Hahaha et bikra kwendra uko na uongo wako. 4
  • @
    @tumakassim62865 years ago Kaona atoke na kiki ya ebitoke kujitangazia bikra. 1
  • @
    @emmypc83625 years ago Jinga sana ili eti asinialibie uvulana wangu nyau wee. 3
  • @
    @saleciaaloyce7145 years ago Maana ya baharia ni hii kuwa mweuc tii uyo ni baharia, nani ameckia hiyoo. 3
  • @
    @mourinenekesah40025 years ago Hahahaa mukali wao unanipambaaeti uvulana wako? Waah umenichekesha sana nipee location coz mm natafta mume ambae ana viegezo vyako hivo kaa malengo sio kuniaribia usichana wangu uniache. 3
  • @
    @henrysilvanoh19355 years ago Kwendraaa et hujawahi fanyakamdanganye kuku.
  • @
    @mercyhabathi61985 years ago Haha. Jaman. Wanichekesh. So. Wee. Ni. Bikirah. 6
  • @
    @feyfarid04485 years ago Lakini kwa uhesamu. Huna sura nzito kma jabali la. Mwambani. 1
  • @
    @MmMm-og5tp5 years ago Aa kwenda we co mzima kabisa kama uzima bc kibamia. 3
  • @
    @aishajuma71445 years ago Hahahaha haya jamarii mabikraa bikra mwenzenu huyo hahahaha.
  • @
    @munawaida53275 years ago Hahahaha we noma et uko na bikira makubwa ya leo kali amejitoa ufahamu kama hamorapa. 4
  • @
    @abdulmohd68805 years ago Mimi binafc cwezi kushindanisha wcb na mlela. 1
  • @
    @shinunaatanasi89805 years ago Aaaah jmn nimejikuta nacheka mno, bikra mchezo labda ya nyuma so mbele. 2
  • @
    @hawasandale55954 years ago Aitunza bikra yake ataki mwanamke wa kumuaribia uvulana wake duh! Uwii mbavu zangu jamani.