Duration 4:6

UWANJA WA NDEGE TANGA KUBORESHWA NA BANDARI KUIMARISHWA MAPOKEZI YA MIRADI MIKUBWA

5 679 watched
0
51
Published 24 Jun 2021

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima amewahakikishia madiwani wa jiji hilo kuwa uwanja wa ndege na bandari ya mkoa huo zitaboreshwa kwaajili ya mapokezi ya miradi mikubwa ya maendeleo inayotarajiwa kuanza siku za karibuni.

Category

Show more

Comments - 10