Je umeshawahi kujiuliza kwanini mnagombana mara kwa mara na mpenzi wako? Yapo makosa ambayo mmoja wenu au wote mnayafanya bila kufahamu athari yake kwenye mahusiano yenu, Haya hapa makosa 7 ya kuepuka kwenye mahusiano yako
#DrChrisMauki#Mahusiano#Makosa