Ukiambiwa utaje viumbe vinavyoogopwa duniani basi huwezi acha kutaja nyoka, na ikitokea ukakutana nae naamini hutoweza kumsogelea kabisa sana san utatumia jiwe na fimbo ili umuue , Kwa Askari wa Jeshi la Wananchi Private Edis Kolojero kwake imekua tofauti amemuua nyoka mkubwa chatu kwa mkono , japo alipata majeruhi.
Video kwa hisani ya JKT
Category
Show more
Comments - 745
Related videos for KILICHOMKUTA MWANAJESHI ALIEMUUA CHATU AFUNGUKA KWA UNDANI NINA UZOEFU NA NYOKA: