Duration 10:53

MANENO YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI MPYA, GERSON MSIGWA AKIKABIDHIWA OFISI NA DK. ABASS

12 559 watched
0
67
Published 16 Apr 2021

Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi leo Aprili 16, 2021 amekabidhi ofisi ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo ambayo pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali kwa Bwana Gerson Partinus Msigwa ambaye ameteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kuwa Mkurugenzi wa Idara hiyo na Msemaji Mkuu wa Serikali. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dodoma.

Category

Show more

Comments - 22