Duration 4600

ST JOSEPH'S COLLEGE. The Institute of Business and Management.

215 watched
0
1
Published 13 Apr 2021

karibu katika Chuo chako pendwa nchini tanzania chuo chenye kila Aina ya sifa ya kuwa na elimu bora, itakayo kufanya kufikia malengo yako ya kielimu, chuo kinatoka kozi mbali mbali hususani za biashara teknolojia na kozi mbali mbali za kitaaluma chuo kina manzari Bora na mazingira Bora na huduma Bora za hostel na maji Safi na salama maktaba za kisasa na lab za kisasa. kwa mawasiliano zaidi tembelea Tovuti za chuo kwa jina la St Joseph's collage. au fika chuoni maeneo ya Kihonda Mizani chuo kipo mkabala na Chuo Cha Uhandishi wa habari morogoro. Asante

Category

Show more

Comments - 0