Duration 1:16

Majaji saba wa mahakama ya rufaa wateuliwa kusikiza kesi ya BBI

2 431 watched
0
11
Published 24 Jun 2021

Majaji saba wa mahakama ya rufaa wateuliwa kusikiza kesi ya BBI Majaji hao ni Daniel Musinga, Roselyne Nambuye, Hannah Okwengu Pia Patrick Kiage, Gatembu Kairu, Fatuma Sichale na Francis Tuyoitt Kesi hiyo ya BBI itaanza kusikilizwa Jumanne wiki ijayo

Category

Show more

Comments - 1