Duration 3:2

Fahamu kuhusu Tatizo La Harufu Mbaya Kinywani Na Jinsi Ya Kuepukana Nalo

134 watched
0
1
Published 11 Apr 2021

Watu wengi wamekua na tatizo la harufu kinywani sasa hii video itakuonesha namna ya kukabiliana na hili tatizo,unatakiwa uwe na magadi.limao na mahtaji mengine SUBSCRIBE,LIKE,COMMENT & SHARE

Category

Show more

Comments - 0