Kutoka Bungeni Dodoma Leo February 8 2021 Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kuchangia kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2021/22 –2025/26) na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2021/22 pamoja na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2021/22.
Category
Show more
Comments - 133
Related videos for MBUNGE MUSUKUMA TUSIONEANE AIBU, TUSEME KWELI MADUKA YANAFUNGWA, WATU WANAFILISIKA: