Duration 5:12

“Nyasi Za Dhahabu”

10 281 watched
0
54
Published 18 Jan 2015

Wasemao husema kuwa mara nyingi hitaji huzaa ubunifu. Yaani unapokuwa na shida ndipo unapoanza kuwaza na kuwazua namna ya kujikwamua kutokana na shida hiyo. Shida za maisha ya kijana mmoja kutoka Eldoret zimemvumbulia kipaji cha usanii wa kutengeza michoro kutumia nyasi na amewashangaza wengi kutokana na ustadi wake. Bonface Masiga sasa anategemea usanii huu kijikimu kimaisha na hata kuwasaidia nduguze wengine 6 wadogo ingawa lengo lake kuu anasema ni kuweza kuhifadhi pesa za kutosha zitakazomwezesha kuendelea na masomo yake ya chuoni baada ya kushindwa kuendelea kutokana na ukosefu wa karo.

Category

Show more

Comments - 12