Duration 1:22:5

RECAP: HARMONIZE afunguka mazito ya DIAMOND, adai hapendi apitwe, azianika sauti tata za RAY VANNY

67 338 watched
0
1.5 K
Published 19 Nov 2021

Alhamis ya November 18, Harmonize alitua Dar akitokea Marekani alikokuwa kwenye ziara. Baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, alizungumza na waandishi wa habari na kufunguka mengi mazito kuhusu aliyofanyiwa na Diamond pamoja na uongozi wa WCB kabla na wakati akitaka kuondoka. Kwenye #Recap hii, Sky, Esko na Creez Favors wanajadili yote muhimu ambayo Harmonize ameyasema

Category

Show more

Comments - 609