Duration 9:7

Kwanini Nywele Zangu HAZIKUI | KuzaNyweleChallenge2018 | Natural Hair

73 805 watched
0
577
Published 11 Feb 2018

(samahani kwa quality mbaya ya sauti) Nywele zetu zinakua. Tatizo kubwa ni kushindwa kwetu kuhifadhi urefu wa nywele zetu na hivyo kuishia kuamini kuwa nywele za Kiafrika au kipilipili hazikui. Katika video hii nakushirikisha sababu 10 zinazoweza kuwa zinachangia nywele zako kutokuwa ndefu. Je, umejiunga na KuzaNyweleChallenge2018? Kupitia fursa hii nitakupa dondoo na njia mbalimbali za kukusaidia lakini Zaidi sana kukufundisha jinsi ya kutunza nywele zako ili kuhakikisha unahifadhi urefu wake. Kila baada ya miezi 6 tutafanya length check kuangalia nywele zetu zimekua kiasi gani. Official channel ya Abee Naturals: /channel/UCQtA4-JuhrzhnxzjK1oSqjg Fuatana nami social media kupitia: I N S T A G R A M: follow @abeenaturals S N A P C H A T: add++ abeeprecious F A C E B O O K: like Abee Naturals T W I T T E R: follow @abeenaturals

Category

Show more

Comments - 91