@fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 years agoMashaallah inapendeza sana ikramu nzuri sana nahii nimoja ya sifa ya mutume wetu allah amuhifadhi na wema wote walotangulia inshallah. 3
@
@afric014 years agoMashallah what a lovely voice. Yassalam. Ama kupokelewa kwa sheikh, ningekua karibu hata mimi ningekupokea sheikh othman. 3
@
@fadhiliswalehe92864 years agoWatu wa bidaa allah awaongoze ktk haqi. 4
@
@aishaabdullah2334 years agoMasha Allah tabaraka Allah , Allah akulinde sheikh wetu best is the best always . usiache na cc kutuombea alhamdullih tunafaidika sana na vile tunajifunza mengi hasa mm nimejua mengi kupitia kusikiliza mawaidha yako. Alhamdullih namshukuru Allah pamoja na ww na technology pia imesaidia without that sijuwi infekuaje Allah ni mkubwa .....Expand3
@
@ashooraashoora11804 years agoMashaa' allah mcheza kwao hutunzwa jazzakumllah khery. 1
@
@mohammedkimanga89604 years agoShukrni sna sheikh uthman michael kutoka kenya mombasa tuko pamja allah akufnyie wepesi kwa juhudi zko za dini. 2
@
@mariamabbas56033 years agoMashallah, hali hii ya maulid ilipelekea watu wengi kusilim, maana inaleta raha.
@
@maryammdoe58014 years agoMa sha allah akuhifadhini waalimu wetyu tunawapendeni kwa ajili ya allah.
@
@shabannyange22193 years agoAllah atuwekee mudiir wetu wanazah-rau.
@
@mwajumamwajuma37564 years agoMashaallah wisilam ustadh mungu awalipe kheri na baraka.
@
@aboubackhrkassangullah47554 years agoKumbe sheikh othman michael kwao kwalushega aa safi.
@
@rashidikanyama72272 years agoShekhe tajiri mngazija mwenyezimungu amrahamu.
@
@aminaabubakary47274 years agoMasha allah lahaula walakuwwa illabillah laaliyu laadhwim. 1
@
@karistkanuti27474 years agoNakupenda sana sheikh kwa ajili ya allah. 1
@
@kasimmwembe18504 years agoHakika kazi yako unayoifanya hichi ndicho kipimo chakuwa ww ni nan ktk jamii mzima, yaa allah nakuaomba kher ktk kila kher ambazo umemuafikisha nazo shekhe allahumma amiin. ...Expand
@
@khadijaangore44084 years agoMasha allah lahwala walakuwatah illabilah. Alhamdulillah kwa neema kubwa masheikh wetu. Allah awajaalie umri, afya.
@
@aminahhamed7474 years agoMasha allah shekh othman mtu kwao mapokezi mazuri sn.
@
@hanifatanzania72584 years agoYani hawa wanawakena wanaume na wanaiba kwa sauti subuhanallah inalillah waina ilah rajun.
@
@nooor11204 years agoNa mm ingekua mgeni wangu ningekupokea sheikh othman.
@
@aishaabdullah2334 years agoMasha Allah tabaraka Allah , Allah akulinde sheikh wetu best is the best always . usiache na cc kutuombea alhamdullih tunafaidika sana na vile tunajifunza mengi hasa mm nimejua mengi kupitia kusikiliza mawaidha yako. Alhamdullih namshukuru Allah pamoja na ww na technology pia imesaidia without that sijuwi infekuaje Allah ni mkubwa .....Expand3
@
@kasimmwembe18504 years agoHakika kazi yako unayoifanya hichi ndicho kipimo chakuwa ww ni nan ktk jamii mzima, yaa allah nakuaomba kher ktk kila kher ambazo umemuafikisha nazo shekhe allahumma amiin. ...Expand
Related videos for UMATI WA WATU ULIVYOMPOKEA SHEIKH OTHMAN MICHAEL KATIKA MAULID LUSHOTO TANGA .:
Allah ni mkubwa .. ...Expand 3
jazzakumllah khery. 1
Allah ni mkubwa .. ...Expand 3