Mradi wa kimkakati wa Bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere katika maporomoko ya mto Rufiji eneo la Stiegler’s Gorge ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Julius Nyerere.
Mpaka Juni 2021 mradi huo umefikia hatua ya ujenzi wa asilimia 54.3 ikiwa ni dalili ya nyota njema kuanza kuonekana ya Umeme wa Megawatts 2,115 ifikapo Juni 14, 2022.
---------------------------------------------------
WASHIRIKI
Mwongozaji - Clement Silla,
Mtayarishaji - Vumilia Mwasha,
Mpiga Picha - Shaban Kwaka,
Msomaji Sauti - Florance Mavindi,
Mhariri Picha - Clement Silla
Drone - Ahmed Mbaraka
--------------------------------------------------------------
Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr
App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ
Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/
Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ
Category
Show more
Comments - 100
Related videos for TBC RUFIJI MUONEKANO NA TAFSIRI YA 54.3% UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME WA MAJI (JNHPP):