Duration 3:24

NDIVYO ALIVYO

1 484 694 watched
0
3.9 K
Published 27 Jul 2021

Kwaya ya Mt.Maria Goreth_ Chuo Kikuu Cha Ushirika - Moshi Wanatukaribisha kusikilizana kutazamawimbo huu uitwao NDIVYO ALIVYO, Utunzi wake Fortune Shimanyi. Ni wimbo unaozitaja sifa za Mungu wetu. Audio na Video za wimbo huu zimefanywa na RAJO Productions. Kinanda kimechezwa na Ray Ufunguo. Tubarikiwe sote.#Miminaneema #rajoproductions

Category

Show more

Comments - 554