Duration 5000

Utata wazuka baada Ukraine kuwaruhusu wanajeshi wa kike kuvaa ‘high heels’ kwenye gwaride

9 372 watched
0
188
Published 6 Jul 2021

Waziri wa ulinzi wa Ukraine, ameutetea uamuzi wake wa kuwafundisha wanajeshi wa kike kutembea kwenye gwaride wakiwa wamevalia viatu virefu yaani high heels baada ya wabunge kuukosoa

Category

Show more

Comments - 24