Duration 2:13

Mwanamke wa Kitanzania anayeendesha malori ya mafuta

565 811 watched
0
1.5 K
Published 23 Oct 2017

Kutana na mwanamke huyu Jovina Tambuli wa nchini Tanzania anayeendesha maliri ya mafuta hadi nje ya mipaka ya Tanzania. Ni kazi iliyodhaniwa inafanywa na wanaume pekee, lakini kumbe hata wanawake wanaimudu.

Category

Show more

Comments - 129