Duration 4:33

Unataka nini kwa Bwana-Jerusalemu choir

96 watched
0
1
Published 15 Oct 2019

Hawa ni waimbaji wa gospel,wanaopatikana Singida sehemu moja inaitwa Mtinko.Wanampa Mungu utukufu kwa nyimbo zao nzuri zenye kutia moyo sana,binafsi nimependa nyimbo zao.Mungu aendelee kuwabariki kwa kazi yao,na Mungu awasaidie wafanikiwe kutoa videoz ya nyimbo zao.Endelea kuwaombea safari bado inaendelea.STAY BLESSED

Category

Show more

Comments - 0