Duration 4400

Mashine ya kutotoleshea vifaranga ya mafuta ya taa

167 watched
0
1
Published 23 Jul 2021

🛑Ukitaka Kujua faida ya maarifa na ufahamu tunapima watu wawili ambao WAMEANGUA kiuchumi alafu Kati yao mmoja ana Elimu mwingine hana Elimu alafu wote wanahitaji kurudi KWENYE viwango vile vile! Binadamu makini ni yule anayejua namna bora ya kuinuka kiuchumi anapoanguka Binadamu makini ni yule anaendelea kuishi kwa matumaini hata kama yuko KWENYE Changamoto Kubwa Binadamu makini ni yule asiye athirika kisaikolojia hata kama anakutana na magumu katika safari ya MAISHA Binadamu makini ni yule anayesimama kwenda mbele hata kama hakustaili kabisa! . . Contact us :- Dodoma kisasa WhatsApp au call +255753164374 Facebook page: Luxie Poultry Farm Instagram page: Luxie Group investment Youtube channel : Luxie Group Investment Email: aswegek@gmail.com

Category

Show more

Comments - 0