Duration 1:33

TAFAKARI MAJUKUMU YA JESHI LA POLISI KISHA 28/10 CHUKUA HATUA

24 watched
0
0
Published 8 Oct 2020

Jeshi la polisi Wilayani Hai limemzui Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Ubunge Jimbo la Hai Mh.Freeman Mbowe asifanye mkutano uliokuwa ufanyike kwenye kijiji cha Rondoo kata ya Romu Jimboni Hai...sikiliza kauli ya OCD

Category

Show more

Comments - 0