Duration 16:31

MBINU ZA KUONGEZA WATEJA KATIKA BIASHARA YAKO

1 518 watched
0
26
Published 12 Dec 2021

⚡Kama ni mfanyabiashara ua mjasiriamali, na hakika ushawahi kupoteza wateja katika biashara yako na kujiuliuza nini tatizo, na umekuwa ukistruggle kuongeza wateja katika biashara yako.Jifunze mbinu za kuongeza wateja.Hivi Karibuni nilipokea pendekezo kutoka kwa ATHUMANI PIGO, akisema “Upo vizuri Kaka, (Asante). Nitakuomba Uandae Mada ya MBINU ZA KUONGEZA WATEJA” Kwa kufanya hilo leo nimeona nimualike Coach Lazaro Samweli Kama mara nyingine. Coach Lazaro Samweli ni Youtuber, Podcaster, na anasaidia Wafanyabiashara na Wajasiriamali kupata wateja na masoko ya mawazo, bidhaa au huduma za ndani na nje ya mitandao ya kijamii kwa kutumia maandishi yenye ushawishi. Nina marafiki na jamaa wengi sana ambao wamejiajiri, na moja kati ya malalamiko yako makubwa ni kutouza bidhaa au huduma zao.Mwisho wa siku mtu anaona ya nini ni bora niache na kukata tamaa. Kwanini iwe hivyo wakati kuna mbinu na njia nyingi za kujifunza na kupata na kuongeza wateja kwa biashara yako.Kutokana na hili nimenifanya nimtafute Coach lazaro samwel atusaidie katika hili. Tazama video hadi mwisho Karibu. Timecodes 0:00 Intro 2:55 Wajue kwanza wateja wako 06:00 Jua tatizo au Maumivu ya wateja wako 07:52 Elewa Bidhaa yako Vema/Vizuri 09:35 Jua Nguvu na udhaifu wa washindani wako 11:26 Jua wateja wako wanapatikana wapi ⚡Coach Lazaro Samwel Youtube Channel👉/channel/UCR3l ... ⚡Sikiliza Podcast yake Akili ya Ushindi 👉https://afripods.com/podcast/akili-ya-ushindi/94ac7e50-1462-4a06-9e4b-f2cb006be19a ⚡Mfuatilie Instagram 👉https://www.instagram.com/lazarosamwel_/ ⚡WHATSAPP : 👉 (+255) 678-010334 🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 https://afripods.africa/ 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 /c/GOnlineposi ... Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi. 🔴Nifuate IG- https://www.instagram.com/gonline_pos ... BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, 4.Kupata Keyword explorer, download sasa 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFANIKIO YAKO 👉/watch/0DtvsaPSehVSv ⚡ TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY)| Zahir Gomelo 👉/watch/Ux-K_xwrNK8rK ⚡Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA 👉 /watch/4dNcHRy3fXF3c ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/Q3OgNLNiv4Ng ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉/watch/MVpN72IhqEyhN ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 /watch/Idi-cfenYymn- ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉/watch/cACnC5KU0WvUn ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉/watch/YLQEzAh240I2E ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 /watch/ED2IfZiObHaOI ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 /watch/sTVx-AcGx_MGx #Mbinuzakuongezawateja #Biasharanamafanikio #2022

Category

Show more

Comments - 9