Duration 10:1

Yanga Yapata Pigo Zito Sana,GSM..

48 641 watched
0
115
Published 7 Jun 2020

Yanga imepata pigo baada ya kuhusishwa kwa muda mrefu na kupamba kurasa za mbele za magazeti kwa kuwataka Erick Rutanga,Ally Niyonzima na Michael Sarpong ambao sasa wamesajiliwa na timu zingine,wakati Sarpong yeye akisamehewa na viongozi wa Rayon Sports.Hii itawanyong'onyesha mashabiki waliokua na imani kubwa ya wachezaji hao kutua jangwani.

Category

Show more

Comments - 31