Duration 4:40

Nina Masters, Vyeti Nimefungia Kabatini kwa sasa Ninafuga Kuku Chotara na Broiler

21 956 watched
0
199
Published 8 Dec 2021

Kuwa msomi haimaanishi kuwa ni lazima ufanye kazi za ofisini, unaweza kujiongeza na kujiajiri kenye sekta yeyote ile. "Binafsi Nina Masters, Vyeti Nimefungia Kabatini kwa sasa Ninafuga Kuku Chotara na Broiler" kutana pia na Bi Hidaya Mbaga, mstaafu aliyeamua kujiajiri kwenye ufugaji wa kuku chotara, japo safari yake ya ufugaji ilianzia kwenye ufugaji wa nyama yani broiler, baadae kuku wa mayai yani layers na sasa amejikita kwenye ufugaji wa kuku chotara hasahasa Kuroiler

Category

Show more

Comments - 21